Bongoflava
Member
- Dec 22, 2017
- 75
- 38
- Thread starter
- #21
Hiyo unayosema 10m ni ya 2003 na hii ni ya 2004 we jamaa bana [emoji23][emoji23]Ye mwenyewe ameniruhusu Mkuu.
Wajua wapo watu kwa tofauti isiyozidi 2mil bora waagizie tu Nje kuliko kuchukua lililotumika hapa nchini. Hili gari limeingia kama Miaka miwili hivi iliyopita.