Ye mwenyewe ameniruhusu Mkuu.
Wajua wapo watu kwa tofauti isiyozidi 2mil bora waagizie tu Nje kuliko kuchukua lililotumika hapa nchini. Hili gari limeingia kama Miaka miwili hivi iliyopita.
Tena nilisahau hiki kitu Mkuu, thanks,
Means bei zinashuka zaidi,
Nilidhani ni menu ya awali ambako hawakua na hii option ya wao kua clearing agent, kumbe wameweka now