Hzo sio gari mkuu, ni vyombo tu vya usafiri. Ni vigari vinavyotaka lami tu, na ni kwaajili ya town trips tu za hapa na pale...
Kitakusumbua mkuu. Kiache hivyo hivyo tu. Cha kufanya ukifika kwenye rough roads punguza mwendo tu. Ukikazoea utakapenda.Hakuna namna yoyote (mechanically) ya ku-upgrade na kuweka mneso mzuri kwenye hizi gari ndogo kavu?
Umenivunja mbavu mkuu. Gari inadunda kama kitenesi!! Hahaha
Sasa mkuu, je kuna namna yoyote mechanically ya ku-upgrade suspension system ya hizi beby walkers za mjapan zikawa na mneso? Au labda kuna shock ups ambazo ni more luxury and softer ambazo naweza nunua na kureplace?
Mzee apo uchawi ni suspension tu si kingine.Kwa mm ninacho kiona ni mjapan kuweka body nyepesi sana ndo maana hata mneso hakuna kwa hiv vigar vidogo, gar za wazungu wamezitia uzito sana, nafiliri ndo maana hata mneso unapatikana
na ww ndio wale mnaojua toyota ni premio na ist na vi vitzHizi gari zipo kwa ajili ya kuturahisishia usafiri from point A kwenda point B lakini taste ya gari kwa kweli hazina. Ukiendesha gari za mjerumani huwez tamani kuendesha tena haya matoyota basi tu umasikini wetu tu.
Sawa mkuuna ww ndio wale mnaojua toyota ni premio na ist na vi vitz
Funga air suspension!Hizi beby walkers ni kavu mno wandugu.
Kuna namna yoyote (mechanically) ya kufanya ili kuboresha ride quality kwenye Toyota IST? Kwenye suspension system.
Hizi gari ni kavu mno kuendesha kwenye rough road. Their ride is too bumpy and too stiff!...
Hzo sio gari mkuu, ni vyombo tu vya usafiri. Ni vigari vinavyotaka lami tu, na ni kwaajili ya town trips tu za hapa na pale.
Nishaendesha Starlet, Vits, ist, na Raum. Vyooote ni vikavu mno kwenye ride. Utadhani unaendesha baiskeli ya mbao. Ukipita kwenye rasta bumps body lote linavibrate utafikiri umepigwa na tetemeko la ardhi...
Hahahah hiko kigari sikipendi kinoma..jirani yangu anacho huwa nasogeza akikipaki vibaya ila uskani kama nondo kubabae, seats ndio kama umekalia kigoda.Sedan za mjapani kidogo ziko poa Kwenye luxury Ila hizi baby walker ni mtihani kwelikweli hasa Kwenye rough road.....kuanzia siti zake IST ni ngumu kama ubao alafu miguu inakunja kama unakuna nazi
Huku mtaani wanaziita "gari ya taifa"Hahahah hiko kigari sikipendi kinoma..jirani yangu anacho huwa nasogeza akikipaki vibaya ila uskani kama nondo kubabae, seats ndio kama umekalia kigoda.
Hahahah kweli bana..kigari cha taifa maana humalizi mtaa bila kukionaHuku mtaani wanaziita "gari ya taifa"
Ni mimi nilisema hivyo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mtu nmemsahau jina humu JF alisema Ist and the likes zinadunda kama kitenesi ukiwa unaendesha nadhani ni Boeing 747 kama sijakosea.
Option rahisi ni kuhamia kwenye baby walker za mjerumani.
Mara nyingi PSI ya tairi kwa hizi baby walker isidi 30psi kwa tairi la mbele na 35psi kwa tairi la nyumba..Usijaze upepo kupita kiasi, zingatia maelekezo ya kampuni husika. Upepo ukizidi gari linaruka kama kitenisi.
Hzo sio gari mkuu, ni vyombo tu vya usafiri. Ni vigari vinavyotaka lami tu, na ni kwaajili ya town trips tu za hapa na pale.
Nishaendesha Starlet, Vits, ist, na Raum. Vyooote ni vikavu mno kwenye ride. Utadhani unaendesha baiskeli ya mbao. Ukipita kwenye rasta bumps body lote linavibrate utafikiri umepigwa na tetemeko la ardhi.
Wanasema baby walkers za mjerumani zina suspension laini na ni gari haswa.
Usijaze upepo kupita kiasi, zingatia maelekezo ya kampuni husika. Upepo ukizidi gari linaruka kama kitenisi.
Funga air suspension!
Ni mimi nilisema hivyo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtaniwia radhi...
Nimeendesha IST mara kadhaa....I don't feel ile comfortability ninayoisikia kwenye Nissan Note yangu..[emoji125][emoji125][emoji125]
Shida kubwa Ya IST, PASSO, SWIFT na vigari vingine vidogo vya namna hiyo ni vifupi sana...yaani ukichukua rula upime umbali kutoka tairi la mbele na la nyuma, umbali ni mfupi sana..(kitaalam tunasema wheel base ya hayo magari ni ndogo sana)...