Toyota IST: Too stiff suspension and bumpy ride. Je kuna softer/ luxurious Springs & Shock-ups for IST?

Toyota IST: Too stiff suspension and bumpy ride. Je kuna softer/ luxurious Springs & Shock-ups for IST?

Kaweke soft springs, msimbazi ziko nyingi, kama hela ipo weka na kyb shockup, itakaa poa

Soft springs. Zinagharimu kiasi gani? Haziathiri stability ya gari?

Pia nishasikia sana kuhusu hizo KYB Shock up, wanasema ni shock up imara lakini ni stiffer!! Not softer. Hili lipoje? Na zinagharimu kiasi gani hizo shock up?

Na je vipi kuhusu shock ups brand ya 'Bilstein'?
 
Haitaathiri mkuu maana iko kama sponge tu na unaweza adjust height ya gari with a touch of a button tu.

Nimejaribu kugoogle hiyo 'air suspension'. Gharama yake nadhani waeza nunua toyota ist zaidi ya 3 😂😂
 
Dah sijajua mkuu. Ila suspension ya gari ukishaanza kuichezea, Unaweza juta. Unless kama upate mtaalamu wa hayo mambo.

Kuna mdau hapo juu kashauri kuwa nikiweka soft springs na shock up brand ya KYB, itakuwa poa.

Nadhani 'suspension system' inajumuisha vitu vingi sana ambavyo ni vital kwenye car stability, sio vya kuchezea chezea kwa fundi asiye mbobezi.
 
Hizi beby walkers ni kavu mno wandugu.

Kuna namna yoyote (mechanically) ya kufanya ili kuboresha ride quality kwenye Toyota IST? Kwenye suspension system.

Hizi gari ni kavu mno kuendesha kwenye rough road. Their ride is too bumpy and too stiff!!!

Je, kuna suspension system ambayo ni softer & luxurious (non stiff) kwaajili ya hizi Toyota IST and the like? If yes, gharama yake ni kiasi gani?

Nasikiaga kuna 'springs za coil' sijuwi ndiyo zina mneso mkali, etc etc. Mimi sio mjuzi wa hizi mambo.

Nataka hii IST iwe na mneso kwenye bumps na rough road. Naombeni ushauri wenu wajuvi wa masuala haya.
Kuna point ya msingi sana
Gari fupi na nyepesi, huwezi kuweka spring amabzo zina nesa sana kwani ukikimbia inakosa balance; na ikitokea upite bamps kwa speed kidogo ya 20km/h inaweza kupinduka kwani kataruka sana na kupoteza muelekeo..
Kama kwako kunesa ni muhimu sana, wala usijihangaishe kurekebisha, utaharibu Gari lako na mwisho ujisababishie ajali
wewe uza hako ka IST (vinauzika kirahisi tu) na nunua gari ndefu kigogo; Nissan Note, Spacio, Wish, Noah, nk
 
Ndio kuna suspension zipo soft....kama ni used hio gari yako basi inaonekana previous owner ali weka stiff suspension ndo maana tafta mkuu
Zipo
 
Back
Top Bottom