Haitaathiri mkuu maana iko kama sponge tu na unaweza adjust height ya gari with a touch of a button tu.AIR SUSPENSION.
Hiyo inacost kiasi gani mkuu? Ina mneso? Je haiathiri stability iliyopo?
Kaweke soft springs, msimbazi ziko nyingi, kama hela ipo weka na kyb shockup, itakaa poa
Haitaathiri mkuu maana iko kama sponge tu na unaweza adjust height ya gari with a touch of a button tu.
Dah sijajua mkuu. Ila suspension ya gari ukishaanza kuichezea, Unaweza juta. Unless kama upate mtaalamu wa hayo mambo.
Gari gani lina suspension system bora zaidi kwa toyota?
Kuna point ya msingi sanaHizi beby walkers ni kavu mno wandugu.
Kuna namna yoyote (mechanically) ya kufanya ili kuboresha ride quality kwenye Toyota IST? Kwenye suspension system.
Hizi gari ni kavu mno kuendesha kwenye rough road. Their ride is too bumpy and too stiff!!!
Je, kuna suspension system ambayo ni softer & luxurious (non stiff) kwaajili ya hizi Toyota IST and the like? If yes, gharama yake ni kiasi gani?
Nasikiaga kuna 'springs za coil' sijuwi ndiyo zina mneso mkali, etc etc. Mimi sio mjuzi wa hizi mambo.
Nataka hii IST iwe na mneso kwenye bumps na rough road. Naombeni ushauri wenu wajuvi wa masuala haya.
Not really.Mara nyingi PSI ya tairi kwa hizi baby walker isidi 30psi kwa tairi la mbele na 35psi kwa tairi la nyumba..