Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 349
- 805
Kuna IST mbili nimepata kuziona mtandaoni hivi karibuni. Zimekuwa pimped kibabe, kali sana. Moja ni number DPD na nyingine ni DNN.
Zote za Grey hivi kama sio metalic black. Kama wahusika wanaona hii naomba tuzungumze ninunue moja wapo[emoji16]
Zote za Grey hivi kama sio metalic black. Kama wahusika wanaona hii naomba tuzungumze ninunue moja wapo[emoji16]