Jason chagga
Member
- Aug 3, 2012
- 17
- 6
Naomba kuuliza bei ya shockup za nyuma bei gani na bush
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kwa ushauri wako ila kama kitu ukijui bora ukae kimnya.nenda dukani wengine hapa tunapiga kazi ya kujenga nchi unatusumbua akili tu
mfyuuu kupiga kazi ya kujenga nchi kwa kukesha jamii forum?nenda dukani wengine hapa tunapiga kazi ya kujenga nchi unatusumbua akili tu
Kwa moja bro70,000/=
Ndio kwa original... ila kwa zile za magumashi 30,000 -50,000/= unavuta mzigo...Kwa moja bro
aiseee😀😀nenda dukani wengine hapa tunapiga kazi ya kujenga nchi unatusumbua akili tu
Kazi yangu pia ni kufuatilia mitandao ya kijamii inaongelea nini kukusu taifa letumfyuuu kupiga kazi ya kujenga nchi kwa kukesha jamii forum?
Sasa hapo kitu gani sikijui kwa mfano?Sawa kwa ushauri wako ila kama kitu ukijui bora ukae kimnya.
hapo ndiyo uwezo wako wa kufikiri umegota ukutani.....bora ungekaa kimya usingepungukiwanenda dukani wengine hapa tunapiga kazi ya kujenga nchi unatusumbua akili tu