Car4Sale Toyota kluger ya kufugwa inauzwa bei ya kutupa

Car4Sale Toyota kluger ya kufugwa inauzwa bei ya kutupa

darautobroker

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2020
Posts
685
Reaction score
600
Bei/Price🏷️👉🏽TSH 23.8M
Call📞+255 747 999 927

TOYOTA KLUGER

Year: 2000
Engine: 2,360Cc
Mileage: 147,000+

Transmission: AUTO

✨Fog Lights
✨Rear Spoiler
✨Alloy Wheels

✅Clean Interior
✅Well-Maintaned
✅Exchange Possible

IMG-20251225-WA0117(1).jpg
IMG-20251225-WA0111(1).jpg
IMG-20251225-WA0116(1).jpg
 
Attachments

  • IMG-20251225-WA0102(1).jpg
    IMG-20251225-WA0102(1).jpg
    566.4 KB · Views: 25
  • IMG-20251225-WA0112(1).jpg
    IMG-20251225-WA0112(1).jpg
    579.4 KB · Views: 30
  • IMG-20251225-WA0109(1).jpg
    IMG-20251225-WA0109(1).jpg
    401.6 KB · Views: 23
  • IMG-20251225-WA0115(1).jpg
    IMG-20251225-WA0115(1).jpg
    746.3 KB · Views: 21
  • IMG-20251225-WA0113(1).jpg
    IMG-20251225-WA0113(1).jpg
    549.6 KB · Views: 19
Huyo ndio Bei ya kutupa wakati hapo ukiagiza unapata Mazda CX 5 Kali Sana
Punguza Udaruweshi, Ivi Toyota Kluger Ni Ya Kuifananisha Na Mazda CX-5 Kweli?

Kluger Hizi Ambazo Ndio Kipenzi Cha Raia Wengi Wa China, Kluger Hizi Ambazo Kwa Sasa Showroom Zinauzwa TSH 36 Na Usajili?

Wakati Mwingine Ni Bora Ukakaa Kimya Kuliko Kuja Kwenye Thread Za Watu Kujichoresha
 
Gar ya kununua kutoka kwa ngozi nyeusi. Ni ya kuwa makini sana.mswahil ana hila sana. Hapo kuna hila ya dalali hila ya tajiri anajua kitu fulan sio kizima anakutafuta akuangushie jumba bovu.
 
Iyo Gari Nimekagua Mwenyewe Na Nakuruhusu Hata Kama Una Fundi Wako Pale Toyota Ruksa Twende Akakague Na Uzuri Siku Hizi Teknolojia Huwa Haidanganyi Tuna Kila Kitu
 
Back
Top Bottom