darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Punguza Udaruweshi, Ivi Toyota Kluger Ni Ya Kuifananisha Na Mazda CX-5 Kweli?Huyo ndio Bei ya kutupa wakati hapo ukiagiza unapata Mazda CX 5 Kali Sana
Gar ya kununua kutoka kwa ngozi nyeusi. Ni ya kuwa makini sana.mswahil ana hila sana. Hapo kuna hila ya dalali hila ya tajiri anajua kitu fulan sio kizima anakutafuta akuangushie jumba bovu.
Iyo Gari Nimekagua Mwenyewe Na Nakuruhusu Hata Kama Una Fundi Wako Pale Toyota Ruksa Twende Akakague Na Uzuri Siku Hizi Teknolojia Huwa Haidanganyi Tuna Kila KituGar ya kununua kutoka kwa ngozi nyeusi. Ni ya kuwa makini sana.mswahil ana hila sana. Hapo kuna hila ya dalali hila ya tajiri anajua kitu fulan sio kizima anakutafuta akuangushie jumba bovu.
Bei/Price🏷️👉🏽TSH 23.8M
Call📞+255 747 999 927
TOYOTA KLUGER
Year: 2000
Engine: 2,360Cc
Mileage: 147,000+
Transmission: AUTO
✨Fog Lights
✨Rear Spoiler
✨Alloy Wheels
✅Clean Interior
✅Well-Maintaned
✅Exchange Possible
View attachment 3522848View attachment 3522849View attachment 3522851