Wawezya sana Manumba mnwane wane!🫸🫷0717650800
HahahaaaWawezya sana Manumba mnwane wane!🫸🫷
Halafu anaweka namba E ili awadanganye mambwiga kuwa ni jipya. Angeweka namba yake ya mwanzo hata kama ni namba B au C bado angeuza ingawa siyo kwa hiyo 65MGari la kale sana hilo lina miaka 24 tangu limeundwa, kuna watoto humu wanalisalimia shikamoo gari