Car4Sale Toyota Land Cruiser 1HDT Diesel for Sale Tsh. 65M

Gari la kale sana hilo lina miaka 24 tangu limeundwa, kuna watoto humu wanalisalimia shikamoo gari
Halafu anaweka namba E ili awadanganye mambwiga kuwa ni jipya. Angeweka namba yake ya mwanzo hata kama ni namba B au C bado angeuza ingawa siyo kwa hiyo 65M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…