Toyota Land Cruiser 2016

Toyota Land Cruiser 2016

Isanga family

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
17,080
Reaction score
33,076
1004447671_1_644x461_2016-toyota-land-cruiser-76-45d-v8-station-wagon-cape-town.jpg
1004010841_1_644x461_2014-land-cruiser-79-42d-p-u-s-c-klerksdorp_rev007.jpg
1004447568_1_644x461_2016-toyota-land-cruiser-79-40-double-cab-cape-town.jpg


Hii ndio Land cruiser ya 2016 South Africa inakwenda Rand 660,000 change ipo Tsh 160 kwa Rand 1 kwa sasa...
 
Haya ndiyo magari ya afrika haswa,mengine huwa ni uchafu kepoteza pesa bure kwa vigari vya mjini used Carina,ist,premio etc
 
Hilo gari linafaa kwa shughuli za africa especially maeneo yasiyo na rami
 
sasa ukilinunua huko SA ukaja nalo kwa lami mkwaju mpaka mtwara watakuchaji gharama za bandari n.k
 
Kwa Tanzania shillings ni milioni 160? Nina vihela vya urithi hapa kutoka Gamboshi sijajua nivitumiaje. Nikiiendesha kutoka huko mpaka Bongo itachukua siku ngapi?
 
sasa ukilinunua huko SA ukaja nalo kwa lami mkwaju mpaka mtwara watakuchaji gharama za bandari n.k

Nadhani ni salama kupita Botswana kuriko Mozambique huko hakueleweki kuna sehemu ni kipande kikubwa cha pori kuna utekaji wa magari...boarder hakuna gharama za bandari ni kodi tuu na zipo pungufu kuriko bandarini..
 
Na haya ya 2011 ni rand 300,000 kama Tsh 48,000,000 million

1004009289_1_644x461_2011-land-cruizer-79-42-60th-year-edition-4-4-empangeni.jpg

1004507279_1_644x461_2011-toyota-land-cruizer-klerksdorp.jpg
 
2011 Toyota Land Cruiser 79 model 4.2 Diesel engine
Pick Up 4×4, V 8
 
Back
Top Bottom