Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Kidogo sana hizo.

Kuna balaa la Jeep Trackhawk, the most high-powered and quickest SUV, 0-60 in 2.3 seconds. Ukikuta ile Hennessey-tuned, mzee inakupa 1200 HP na 1,100 ft lbs of torque, fast as a Bugatti Chiron. Ingawa stock yake ni 707 HP na 645 ft lbs of torque.
Bwana nzi gari kama hzo za hennessey ni one time performance ndugu yangu kama hilo cruiser tu

Sasa kama hzo 1000hp kwenye suv unapeleka wap
Might as well ubaki na hzo hzo 700 tu
 
Hiyo CC2000 body lake haliwezi kuwa kama la cruiser halafu likawa na hp 400 kihesabu haiwezekani
Tech imekuwa mzee

Screenshot_20210611-212951.jpg


Screenshot_20210611-213027.jpg


Screenshot_20210611-213041.jpg
 
Bwana nzi gari kama hzo za hennessey ni one time performance ndugu yangu kama hilo cruiser tu

Sasa kama hzo 1000hp kwenye suv unapeleka wap
Might as well ubaki na hzo hzo 700 tu
For fun Bob!
 
Aise nimetoka huko youtube, huyu mnyama mpya japo nimekuwa dissapointed kushusha engine size ya v6 ya 3.5 lakini ina mambo mazuri mengi ukiachana na bodi la kiduwanzi ambalo naamini tumepigwa kwa huo muonekano wa box.

Hii ya sasa horse power 400 sio haba pia ni jepesi kwa almost kilo 200 ya ile ya zamani, kwa hiyo tutegemee litakuwa fasta 0-100kph.

Automatic transmission itakuwa na gia 10 aise. Kwa hapa naona itakuwa smooth na lazma mafuta itakuwa kama inanusa kiasi chake

Yote tisa, kumi ni kwamba bado 200 series ni mashine tamu sana hasa ile facelift ya 2016, designer anywe soda ntalipia.
 
Aise nimetoka huko youtube, huyu mnyama mpya japo nimekuwa dissapointed kushusha engine size ya v6 ya 3.5 lakini ina mambo mazuri mengi ukiachana na bodi la kiduwanzi ambalo naamini tumepigwa kwa huo muonekano wa box...
Mkuu mtu akie dizine 200 series alitulia sana aisee!

Ile gari ni balaa tupu!

Yote kwa yote Magari yanayotoka mwaka huu ambayo sisi tutayanunua kuanzia mwka 2025 yakiwa used yatakuwa yapo poa sana!
 
Mkuu mtu akie dizine 200 series alitulia sana aisee!

Ile gari ni balaa tupu!

Yote kwa yote Magari yanayotoka mwaka huu ambayo sisi tutayanunua kuanzia mwka 2025 yakiwa used yatakuwa yapo poa sana!

hahahahaha..duh..kwa hiyo tujipange kununua magari yanayotoka leo kuanzia 2025+ Umasikini ulaaniwe kabisa!
 
Hiyo volvo ipo group la akina rav4 na umeme mwingi wala hata kwenye kundi la Prado haipo, bado body weight ina-matter.
Volvo XC90 same class as Toyota Rav4? Na XC60 au XC40 itakuwa class ya Probox? XC90 imezidiwa na LC300 kama kilo 600 - XC90 is a mid-size luxury SUV while Rav4 ni compact crossover/compact SUV/crossover SUV

Na umeme mwingi unahusika vipi hapa? Maana hoja yako ni kuwa hakuna gari ya class hiyo ambayo ina CC 2000 na kutengeneza 400HP


Tech ya magari inakuwa sana Bob. Na dunia watu wanazidi kuwa concisous kuhusu athari za fossil fuels kwenye mazingira. Hivyo dunia inaelekea kwenye fuel efficient vehicles but with more power and performance.
 
Back
Top Bottom