Car4Sale Toyota Land Cruiser Hardtop 160,000,000/= (With full registration)

Latest inafika 10.7km/l ila za kizamani zilikuwa 8km/l ikiwa iko vizuri.
I nafika 10 kweli Kaka? Labda yangu ya zamani kidogo, ni coil ya 2002 haijawahi, zidi 8km highway!

Hemu imagine engine ya 1HZ or 1HDT iliyopo kwenye coaster ya kubeba watu 33 ndo imewekwa hump? Hii gari sio mchezo, tutafute hela
 
Diesel engine zenye cc kubwa zipo , very economy zinapobeba mzigo midogo.
Ni namna ya kuendesha tu. 1hd inaeza kukupa hadi 14km/litre highway , kama una mguu mwepesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…