Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Hamna hardtop inayotembea 14Km/litre,hizi LX zinazotoka sa hivi bado na zenyewe zinakwenda 7-9Km/litre.Diesel engine zenye cc kubwa zipo , very economy zinapobeba mzigo midogo.
Ni namna ya kuendesha tu. 1hd inaeza kukupa hadi 14km/litre highway , kama una mguu mwepesi
Inategemea na wepesi wa mguu pamoja na driving skillz. Usikariri fuel figures , those are average not the best one,Hamna hardtop inayotembea 14Km/litre,hizi LX zinazotoka sa hivi bado na zenyewe zinakwenda 7-9Km/litre.
Ila ukishafika starting gate unaanza waza ndio naanza tembelea miguu baada ya kushuka kwenye hicho chumaNi mazuri Kwa ndugu zetu wa sector ya tourism's haya madude yenye thamani ya nyumba ya kigorofa kimoja!
Kumbe yapo vizuri sana, ukiwa nalo mjini hili ni kusumbua tuHio ina economy ya 10.7km/l mkuu ikiwa piru
Yanakula vizuri hata mimi nimeshangaaKumbe yapo vizuri sana, ukiwa nalo mjini hili ni kusumbua tu
Diesel engine zenye cc kubwa zipo , very economy zinapobeba mzigo midogo.
Ni namna ya kuendesha tu. 1hd inaeza kukupa hadi 14km/litre highway , kama una mguu mwepesi
Mtaa mzima plus ukoo wote tukichangishana hata mil 50 haifiki😀😀😀😀😀😀Sasa ndio uwambie watu huko mtaani kwako
Yaani Huwa Inatembea Unaikuta Ina 3KMsorry 0km hapo ilifikaje
Asante kwa ufafanuzi ila kwanini wasiandike tu 3kmYaani Huwa Inatembea Unaikuta Ina 3KM
Ukienda Toyota Tanzania Zinakuwa Hivyo
Nimewahi Kwenda Toyota Tanzania Ikiwa Hiyo Ni 0KmAsante kwa ufafanuzi ila kwanini wasiandike tu 3km
Gari za shirika nilizowahi toa pale Toyota, zina 19km, 11km na hivyo!Nimewahi Kwenda Toyota Tanzania Ikiwa Hiyo Ni 0Km
Anything from 0 to 100 km inqpimwa kama zero km hata zile za toyota pale chang'ombe nyingi utazikuta 14 kmsorry 0km hapo ilifikaje