Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
ni pm kama u are interested
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushuru wake ni kiasi gani? Maana kuna jamaa yangu mmoja alitoa kama hiyo mwanzoni mwa mwaka jana (2001 model) kwa 15M!!
Kwa 15M huwezi kupata gari kama hilo kwa bei hiyo,
Babu gari model hii sana sana 25 M inatembea barabarani. Bei hiyo, ni model mpya zaidi ya hiyo au ya miaka ya karibuni kuliko hiyo. Cha juu.
Bei yake imeandikwa $ 16,000, kwa bei ya madafu (x TSh. 1,370) itakuwa 21,920,000, jumlisha na kodi (sio chini ya 15,000,000) kwa hivyo mtu atarajie kuwa na angalau 37 million mfukoni.
Sio ghali kwa PRADO.
Babu gari model hii sana sana 25 M inatembea barabarani. Bei hiyo, ni model mpya zaidi ya hiyo au ya miaka ya karibuni kuliko hiyo. Cha juu.
Watanzania tumezoea vya kunyonga vya kuchinja hatuviwezi. Mashine imesimama, kila la kumpata mnunuzi mwenye dhamira halisi ya kuinunua na pesa zake sio hawa wababaishaji wa huku.