Toyota Land cruiser Prado

Toyota Land cruiser Prado

Chukua kwenye yadi zetu hapa tz. Usijenunua gari nchi jirani kumbe iliibiwa tz na kuuzwa huko na wewe unairudisha kwa mbwembwe.
Fikiri nje ya box
Japani ni nchi jirani hahah?

Siku ambayo Bandari itasafirisha gari lililoibiwa from Dar to Japani nadhani Mpk Magu atakuja kushuhudia hilo tukio hahah.
 
Toyota Vehicles for Sale
ipo Prado ya mwaka 2006 kwa milioni sita tu (6,000,000)
zaidi ya hapo endelea mwenyewe kusearch
8153d281c49f9eda2f547d9055465574fd9d48a4.png
Hilo Janga. Prado bei ya vitz?
 
Back
Top Bottom