Toyota Land Cruiser V8 Amazon Ushuru umekua mkubwa kuliko bei ya gari

Habari wakuu hivi Kuna namna ya kufanya discount ya Ushuruu? Nahitaji kuagiza hii chuma ila Ushuruu umeipiku Hadi bei ya
View attachment 3124868View attachment 3124869
kwanini hizi maushuru wasipunguze, watu wawe na magari mengi yatakayorahisisha utendaji kazi, utendaji kazi ukiongezeka (kwa sababu gari ni zana ya kutafutia pesa sana) basi uchumi utakua, upande mwingine, wachukue ushuru mkubwa kwenye mafuta kwa sababu kutakuwa na watu wengi wanaopanga foleni petrol station. huwa wanafikiria kweli? mtu akitaka kuagiza gari hata japan tu inabidi ajifikirie kwanza manake pesa ile umenunulia, ungekuwa unaishi japani ungenunua magari mawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…