Ajabu sana , nimecheki mercedes 350d ml ya 2012 kununua south kama 30m ushuru 46m huko aiseHabari wakuu hivi Kuna namna ya kufanya discount ya Ushuruu? Nahitaji kuagiza hii chuma ila Ushuruu umeipiku Hadi bei ya Gari
View attachment 3124868View attachment 3124869
Haipo hivyo mkuu ile calculator yao wameifeed wanavyotaka wao haina formula maalumimetengenezwa kitambo sana that why
Ukiingia na gari kwenye mpaka wa tanzania hata ukanunue uganda itabidi ulipe kodi yote, hata ukinunua znz tu ukifika bara unapigwa difference ili ifanane na kodi ya baraWataalamu wa magari naomba kuuliza, "hivi siwezi kununulia gari bandari ya Kenya ili ushuru upungue,kukwepo huo utapeli
Duhh Ni hatariUkiingia na gari kwenye mpaka wa tanzania hata ukanunue uganda itabidi ulipe kodi yote, hata ukinunua znz tu ukifika bara unapigwa difference ili ifanane na kodi ya bara
Sema ndinga imekaa kimamlaka kuzidi hata hizi mpya za 2025
Kuna vitu hii nchi ukitizama vizur unaona kabisa kuna mambo yamekaa kiwizi wizi kuna haja gani gharama hizo za kodi kuwekwa kwa mfumo wa USD wakati tuna sarafu yetu ya TSH. Wakati huo gari inatoka Japan na wala sio USA?Habari wakuu hivi Kuna namna ya kufanya discount ya Ushuruu? Nahitaji kuagiza hii chuma ila Ushuruu umeipiku Hadi bei ya Gari
Mkuu,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Choqow huyoMkuu,
Hivi huyo ni ME au KE ?!
Ushuru haukwepeki utakutana nao Border ya Namanga na HorohoroWataalamu wa magari naomba kuuliza, "hivi siwezi kununulia gari bandari ya Kenya ili ushuru upungue,kukwepo huo utapeli
UongoTatizo sio V8 bali ni mwaka boss
Gari la 2008 lazima ubamizwe kodi kubwa maana limeekula wese sana ( limekula chumvi)
Hebu angalia la 2018 ulinganishe ushuru huenda ikawa chini
Kwa hiyo uagize hiyo ya 2018 huku ukicheka
Kumbe
TRA ni mashetani ya CCMHabari wakuu hivi Kuna namna ya kufanya discount ya Ushuruu? Nahitaji kuagiza hii chuma ila Ushuruu umeipiku Hadi bei ya Gari