Toyota Landcruise 300 Series

Labda Aussie; maana Ulaya hizi large SUVs wala hawana habari nazo. Wao ni crossovers (compact SUVs) na mid-sized SUVs!
Kwa Arabuni haitouza sana maana Land Cruiser zenye engine ya 1VD ndio zinafanya vizuri jangwani.

Hiyo 3.6 kwa jangwani waarabu hawatoikubali. Mwenzake Nissan Patrol Y62 engine zote ni zaidi ya cc 4000 na ni petrol pia alilenga soko la jangwani baadhi ya matoleo kama Desert edition.
 
naomba kufahamu kivipi matumizi ya torque yanapunguza ulaji wa maguta

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndo maana nimesema rotery engine zinakula sana kuriko engine za kawaida maana mfumo wake ni tofaut
Ist pia ina 1400l nahisi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndo maana nimesema rotery engine zinakula sana kuriko engine za kawaida maana mfumo wake ni tofaut
Ist pia ina 1400l nahisi


Sent from my iPhone using JamiiForums
'Bigger HP = bigger engine = high fuel consumption'

Ndio maana hio concept yako hapo nikakwambia inategemea na tech iliyotumika.

dodge
 

Mkuu hapa sijakuelewa kidogo, na pengine napenda kujifunza zaidi hasa namna ya kuendesha na kutumia mafuta kidogo.

Je, mwendo uliokuwa unatumia ni kiasi gani? Mbinu zipi ulizotumia.

Ingekuwa vema ungetumia lugha ya kawaida kueleweka. Hata hiyo torque uidadavue
 
Horse power haina maana sana kwenye gari kubwa..hasa zile zinazotumika katika ku tow trailers, offroading au kupanda milima. Ila zinahitaji zaidi toque na sio HP.

Mfano...VW toureg inafika mpka hp 300....ila haiwezi kuvutana na massay furgeson tractor ya yenye 75HP.

Kijiko kinachotumika kuchimba barabara engine yake haizidi 150HP......Ila bugatti yenye HP zaidi ya 800 haiwezi kuvutana nayo one against one...hoja ni toque.

Kwaiyo toyota kutoa landcruiser yenye horsepower ndogo, haimaanishi kwamba haina nguvu. Kuna utofauti kati ya gari kuwa na nguvu na gari kuwa na speed.

HP kubwa italeta speed kubwa na kuchanganya mapema....wakati toque ita define nguvu ya engine.

Mara nyingi HP hutumika zaidi kwenye gari za racing. Na toque kwenye gari za kazi.

Mark x Hp kubwa na ina speed kubwa kuliko land rover defender.....ila defender ina nguvu mara 5 zaidi ya mark x.
 
'Bigger HP = bigger engine = high fuel consumption'

Ndio maana hio concept yako hapo nikakwambia inategemea na tech iliyotumika.

dodge

Yeah, ni kweli kaka
Ila ata kwa rotter engines gari ya 2000cc huwez linganisha na hyo r8 ya 1300
Ya 2000 lazima ile sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Si lazima iwe V12,Ziko V8 nyingi tu zinatoa hizo HP 500 and above.

dodge
Mkuu waambie hata Engine ya Nissan Patrol ile ya kutumia petrol TB48DE ambayo ni inline 6 cylinder ilifanyiwa modification na ikatoa Horsepower 2000 na kutumika majangwani huko Uarabuni.
 
Gari ya HP 500 si itakua na engine ya V12 sasa nani atanunu jini la hilo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Engine ya Nissan Patrol TB48 au TB45 hizi ni inline 6 cylinder ukizifanyia modification zinatoa HP 500 bila kigugumizi.

Hiyo TB48DE ndio balaa inafika mpaka HP 2000 na ndio engine ya kijapani kwa SUV iliyotoa HP kubwa mpaka sasa.

TB48 maarufu kama The Monster.
 
Kwangu Land cruiser 80 series anabaki kua bora zaidi.... Kuanzia body mpaka muungurumo wa kibabe
 
Will produce 220kW=295 HP

Sijui ni kwanini Toyota mpk leo hawapendagi ma HP makubwa makubwa,maana kama ni ile 'gentleman agreement' ya mwaka 1989 ya max HP ni 276 ilishakufaga kidizaini.

dodge
Toyota huwa wana-under power engine zao makusudi kuongeza reliability ya engine. Ni mapping tu kwenye ECU, kuna software ukipitisha tu, bila modification yoyote hiyo engine inakupa 400 mpaka 450 hp
 
Toyota huwa wana-under power engine zao makusudi kuongeza reliability ya engine. Ni mapping tu kwenye ECU, kuna software ukipitisha tu, bila modification yoyote hiyo engine inakupa 400 mpaka 450 hp
Hio kitu nimeshafanya kwny gari 1 hivi(toyota) jiko lilikua 1g-fe 160hp, after ECU remapping 250hp so nawasoma vzr mzee baba.

dodge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…