Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Kwa Arabuni haitouza sana maana Land Cruiser zenye engine ya 1VD ndio zinafanya vizuri jangwani.Labda Aussie; maana Ulaya hizi large SUVs wala hawana habari nazo. Wao ni crossovers (compact SUVs) na mid-sized SUVs!
Hiyo 3.6 kwa jangwani waarabu hawatoikubali. Mwenzake Nissan Patrol Y62 engine zote ni zaidi ya cc 4000 na ni petrol pia alilenga soko la jangwani baadhi ya matoleo kama Desert edition.