Car4Sale Toyota Landcruiser Prado Linauzwa Changamkia Offer

Car4Sale Toyota Landcruiser Prado Linauzwa Changamkia Offer

Helsinki

Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
5
Reaction score
1
Habari Wakuu,Kama muonavyo topic hapo juu nauza Prado.Below are the pictures attached.Please no yangu ni 0754 976 082 mnaweza kunipata pia kwenye What'sapp.Napatikana DSM.

6d7964b2-bb63-4423-b4e0-3c1e9e200a03.jpg
b809a2ca-f9f2-4d7b-b838-3a701378dd58.jpg
0c7b2a67-5d27-46b3-ad2b-e9380c42b498.jpg
c7a1f6dd-f2d9-43e6-84a9-72f264354c45.jpg
26012a35-d102-4fc0-aacb-9bcb61d526cc.jpg
IMG_8116.jpg

NO YANGU YA SIMU 0754 976 082 NAPATIKANA PIA WHATSAPP.NAPATIKANA PIA KWENYE NO 0674 951 020.MAZUNGUMZO YAPO SANA.ASANTENI WAKUU[emoji1431][emoji1431]View attachment 821243View attachment 821542View attachment 821544
 
Attachments

  • b809a2ca-f9f2-4d7b-b838-3a701378dd58.jpg
    b809a2ca-f9f2-4d7b-b838-3a701378dd58.jpg
    47.1 KB · Views: 66
  • 0c7b2a67-5d27-46b3-ad2b-e9380c42b498.jpg
    0c7b2a67-5d27-46b3-ad2b-e9380c42b498.jpg
    45.6 KB · Views: 58
Last edited:
Hahah si juzi hapa umeponda gari ya mwenzako humu jf, ukasema mshkaji gari yake ni ya kuendea sokoni wewe umenunua prado kwa 18mil,hahah.

Kumbe ulikua unaota prado ndugu.
hayo ndio magari yangu mkuu nikiwa nayo mawili sio mbaya...
 
Tangu Sizonje alipoingia magogoni naona watu wanauza magari kwa kasi sana,zamani Prado used ilikuwa inapatikana kwa 90,000,000/= (millioni tisini )
Jana kuna jamaa alinionyesha Prado kama hiyo anaiuza kwa millioni kumi na tatu!
 
a

mesha pata mteja?
 
Habari Wakuu,Kama muonavyo topic hapo juu nauza Prado.Below are the pictures attached.Please no yangu ni 0754 976 082 mnaweza kunipata pia kwenye What'sapp.Napatikana DSM.

View attachment 821177View attachment 821179View attachment 821181View attachment 821183View attachment 821184View attachment 821185

NO YANGU YA SIMU 0754 976 082 NAPATIKANA PIA WHATSAPP.NAPATIKANA PIA KWENYE NO 0674 951 020.MAZUNGUMZO YAPO SANA.ASANTENI WAKUU[emoji1431][emoji1431]View attachment 821243View attachment 821542View attachment 821544
Kuna mwenzako anauza Landcruiser VX namba B Kwa 17ml
 
Wakuu jitahidini kuservice magari:magari ni Kama unavyoongalia afya ya mwili wako kwa kufanya check up mara kadhaa ndani ya mwaka.Gari ni hivyo hivyo lazima lifanyiwe service ili kuepusha ajali,ajali nyingi ni uzembe wetu wenyewe(man-made).[emoji1431][emoji1431]Sijawahi kupata ajali na hii gari wala matairi kuchomoka.
 
Back
Top Bottom