Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu jitahidini kuservice magari:magari ni Kama unavyoongalia afya ya mwili wako kwa kufanya check up mara kadhaa ndani ya mwaka.Gari ni hivyo hivyo lazima lifanyiwe service ili kuepusha ajali,ajali nyingi ni uzembe wetu wenyewe(man-made).[emoji1431][emoji1431]Sijawahi kupata ajali na hii gari wala matairi kuchomoka.