Hahah si juzi hapa umeponda gari ya mwenzako humu jf, ukasema mshkaji gari yake ni ya kuendea sokoni wewe umenunua prado kwa 18mil,hahah.sh.ngapi mkuu nalitaka hili
hayo ndio magari yangu mkuu nikiwa nayo mawili sio mbaya...Hahah si juzi hapa umeponda gari ya mwenzako humu jf, ukasema mshkaji gari yake ni ya kuendea sokoni wewe umenunua prado kwa 18mil,hahah.
Kumbe ulikua unaota prado ndugu.
20 million mkuu mazungumzo yapo,na mimi nitafurahi sana mkuu ukipata unachokitaka.Ukitaka kuliona Wasiliana na Mimi!![emoji1431][emoji1431]
Umekusanya buku7 za Lumumba kwa miaka mingapi?sh.ngapi mkuu nalitaka hili
Haswaa,hii gari ishaua ndugu na jamaa zangu karibia sita.Hio prado si ndio inasifika kwa kuchomoka matairi na ball joints af ndio 20mil? Mara 1000 ingekuwa kluger!
Dah pole sana mkuu, natumaini kuna watu watajifunza kitu pia! Prado zuri ni kuanzia fj120Haswaa,hii gari ishaua ndugu na jamaa zangu karibia sita.
Matairi ukiyakaza vizuri hayachomoki....!Dah pole sana mkuu, natumaini kuna watu watajifunza kitu pia! Prado zuri ni kuanzia fj120
mesha pata mteja?Tangu Sizonje alipoingia magogoni naona watu wanauza magari kwa kasi sana,zamani Prado used ilikuwa inapatikana kwa 90,000,000/= (millioni tisini )
Jana kuna jamaa alinionyesha Prado kama hiyo anaiuza kwa millioni kumi na tatu!
Ishajambiwa kwa sana mashuzi ya kibongo huezi uza bei hiyo.
Duh.Critisism.
Kweli wewe unaakili ya kibashite na Chakubanga,umeambiwa kuchomoka sio kupasuka mburula weweMatairi ukiyakaza vizuri hayachomoki....!
Kuna mwenzako anauza Landcruiser VX namba B Kwa 17mlHabari Wakuu,Kama muonavyo topic hapo juu nauza Prado.Below are the pictures attached.Please no yangu ni 0754 976 082 mnaweza kunipata pia kwenye What'sapp.Napatikana DSM.
View attachment 821177View attachment 821179View attachment 821181View attachment 821183View attachment 821184View attachment 821185
NO YANGU YA SIMU 0754 976 082 NAPATIKANA PIA WHATSAPP.NAPATIKANA PIA KWENYE NO 0674 951 020.MAZUNGUMZO YAPO SANA.ASANTENI WAKUU[emoji1431][emoji1431]View attachment 821243View attachment 821542View attachment 821544