Toyota Landcruiser URJ202 vs Toyota Prado TXL or VXL

Wakuu

Mwisho wa mwaka au Mwakani natamani nichukue mojawapo ya hizo hapo .Mnanishauri ipi

Landcruiser 2013-2017
Prado TXL 2019-2023
Achana na Prado zinaua sana, majuzi nimekutana na moja imehama njia imeua watatu, kuna kitu kilichomoka kwenye tyre ya kulia mbele ikaacha njia, mtu mmoja akasema huo ndiyo ugonjwa mkubwa wa Prado
 
Sijui ni model gani ila ina side mirror ndogo mbele kabisa ya shavu la tyre
Ipi kati ya hizo tatu hapo.
Screenshot_20240212_213423.jpg
 
Achana na Prado zinaua sana, majuzi nimekutana na moja imehama njia imeua watatu, kuna kitu kilichomoka kwenye tyre ya kulia mbele ikaacha njia, mtu mmoja akasema huo ndiyo ugonjwa mkubwa wa Prado
Prado sio Landcruiser?
 
Back
Top Bottom