Toyota Landcruiser URJ202 vs Toyota Prado TXL or VXL

Toyota Landcruiser URJ202 vs Toyota Prado TXL or VXL

Mzee baba wewe ni mfanyabiashara wa magari?

Naona kila baada ya miezi kadhaa unatafuta ndinga mpya

Nafanya kama motivation ya kazi zangu

Huwa najiwekea malengo na nasema Nikifikisha kipato flani kwa mwaka huu nitajinunulia gari flani

Kwasababu napenda sana magari inasababisha nifanye kazi kwa bidii sana ili nifike Lengo nipate hio gari.

Nothing else
 
Hizo sizikubari
Sawa ni mapenzi yako mimi naangalia reliability and durability.Napenda sana Range lakini hata waingereza wanakuambia sio magari ya uhakika ?. V8 inakula sana mafuta, na hio prado uwezo wake wa kuhimili vishindo ni mdogo. Bora ujichange uchukue 300 series kama unataka Landcruiser ya ki luxury ? Maana 300 series inakula mafuta vizuri na ina uwezo mkubwa wa kuhimili vishindo.
 
300 series kununua bei mkasi

Naona kama naangukia kwa URJ202

Mafuta mimi sio mtu safari sana.

Safari yangu ndefu ni Nairo
 
300 series kununua bei mkasi

Naona kama naangukia kwa URJ202

Mafuta mimi sio mtu safari sana.

Safari yangu ndefu ni Nairo
Kama una hela ya kununua Prado new model haushindwi kununua 300 series. Nenda pale Toyota Sokoine drive halafu uonanae na watu wa sales. Kuna jamaa nilishafanya nae kazi anaitwa Jaredi nilishawahi kufanya nae kazi. Usisikilize bei za mitandaoni. Kuna kipindi Ford ranger used zilikuwa zimepishana na brand new kwa sh milioni tano. Si bora ukavute brand new 0 km.
 
Back
Top Bottom