Toyota Landcruiser URJ202 vs Toyota Prado TXL or VXL

Wakuu

Mwisho wa mwaka au Mwakani natamani nichukue mojawapo ya hizo hapo .Mnanishauri ipi

Landcruiser 2013-2017
Prado TXL 2019-2023
Achana na Prado zinaua sana, majuzi nimekutana na moja imehama njia imeua watatu, kuna kitu kilichomoka kwenye tyre ya kulia mbele ikaacha njia, mtu mmoja akasema huo ndiyo ugonjwa mkubwa wa Prado
 
Achana na Prado zinaua sana, majuzi nimekutana na moja imehama njia imeua watatu, kuna kitu kilichomoka kwenye tyre ya kulia mbele ikaacha njia, mtu mmoja akasema huo ndiyo ugonjwa mkubwa wa Prado
Prado sio Landcruiser?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…