MKIBAIGWAsharkss
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 572
- 1,331
- Thread starter
-
- #21
Mzee baba wewe ni mfanyabiashara wa magari?
Naona kila baada ya miezi kadhaa unatafuta ndinga mpya
Nafanya kama motivation ya kazi zangu
Huwa najiwekea malengo na nasema Nikifikisha kipato flani kwa mwaka huu nitajinunulia gari flani
Kwasababu napenda sana magari inasababisha nifanye kazi kwa bidii sana ili nifike Lengo nipate hio gari.
Nothing else
Sawa ni mapenzi yako mimi naangalia reliability and durability.Napenda sana Range lakini hata waingereza wanakuambia sio magari ya uhakika ?. V8 inakula sana mafuta, na hio prado uwezo wake wa kuhimili vishindo ni mdogo. Bora ujichange uchukue 300 series kama unataka Landcruiser ya ki luxury ? Maana 300 series inakula mafuta vizuri na ina uwezo mkubwa wa kuhimili vishindo.Hizo sizikubari
Subiri mama atoke Vatican kwanza bado mapema sana kwa ndoto zako za mchana.Wakuu
Mwisho wa mwaka au Mwakani natamani nichukue mojawapo ya hizo hapo .Mnanishauri ipi
Landcruiser 2013-2017
Prado TXL 2019-2023
Subiri mama atoke Vatican kwanza bado mapema sana kwa ndoto zako za mchana.
Sawa ni mapenzi yako mimi naangalia reliability and durability.Napenda sana Range lakini hata waingereza wanakuambia sio magari ya uhakika ?. V8 inakula sana mafuta, na hio prado uwezo wake wa kuhimili vishindo ni mdogo. Bora ujichange uchukue 300 series kama unataka Landcruiser ya ki luxury ? Maana 300 series inakula mafuta vizuri na ina uwezo mkubwa wa kuhimili vishindo.
Kama mfuko si tatizo kaa kwenye URJ202, uhakika zaidi in terms of stability na comfortably
Uncomfortable Car.Hizo sizikubari
Kama una hela ya kununua Prado new model haushindwi kununua 300 series. Nenda pale Toyota Sokoine drive halafu uonanae na watu wa sales. Kuna jamaa nilishafanya nae kazi anaitwa Jaredi nilishawahi kufanya nae kazi. Usisikilize bei za mitandaoni. Kuna kipindi Ford ranger used zilikuwa zimepishana na brand new kwa sh milioni tano. Si bora ukavute brand new 0 km.300 series kununua bei mkasi
Naona kama naangukia kwa URJ202
Mafuta mimi sio mtu safari sana.
Safari yangu ndefu ni Nairo
Hiyo ni TX toleo la zamani ndo zina hiyo shidaSijui ni model gani ila ina side mirror ndogo mbele kabisa ya shavu la tyre
Hizo kimeo sana. Hizo wala sio proper Land Cruiser, ni Hilux Surf iliyojificha.Top left ila iwe na milango miwili kila upande
😅Hizo kimeo sana. Hizo wala sio proper Land Cruiser, ni Hilux Surf iliyojificha.