Toyota LC 300

Fala sana wewe, ukija masaki utakuwa jirani yangu asee sema mie naagiza GLS 600.. utanikaribia kweli hapo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Na kwenye mwendo namkataaa yani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Si mpaka uwe na hio hela ya kununua 2016 sport machine! Wabongo wengi wana fantasy tuπŸ˜… gari zenu ni za 2010-2013 tu mkijipiga sana sio zaidi ya humo!πŸ˜… Bei haitoboi 70M.

Na tena upate yenye performance kubwa zaidi ya 410HP maana nyingi zinakaa kwenye 250HP-350HP humo
 
Maisha yanabadirika sanaaa.. tuponde tu utashangaa mwakani tunanunua machine ya 2023.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…