Toyota LC 300

Toyota LC 300

Kuna mbibi flani hapa Denmark anakaribia kuretire amekuwa mtumishi toka late 70s. Package yake ya retirement ni hela ndefu sana kaniahid tutagawaba na cha Kwanza ni kuchukua iyo LC300 na apartment masaki. Na kinachofuatia ni kutandaza miti at will. Yani huyu mbibi nimemganda balaa
Fala sana wewe, ukija masaki utakuwa jirani yangu asee sema mie naagiza GLS 600.. utanikaribia kweli hapo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Fala sana wewe, ukija masaki utakuwa jirani yangu asee sema mie naagiza GLS 600.. utanikaribia kweli hapo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mwakani ukiliona limepaki karibu na hilo LiGSL lako jua mwanaume tayari ni jirani yako hapa.
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ
137b6383395f638f0bc14c4a3cd1af8cb3281802.jpg
a83028ad95e373b9b2202f52ab83ae2ac7d7582d.jpg
51fe105fdadf146621afe9cd8e0d1aefaafb41d7.jpg
 
Na kwenye mwendo namkataaa yani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Si mpaka uwe na hio hela ya kununua 2016 sport machine! Wabongo wengi wana fantasy tuπŸ˜… gari zenu ni za 2010-2013 tu mkijipiga sana sio zaidi ya humo!πŸ˜… Bei haitoboi 70M.

Na tena upate yenye performance kubwa zaidi ya 410HP maana nyingi zinakaa kwenye 250HP-350HP humo
 
Maisha yanabadirika sanaaa.. tuponde tu utashangaa mwakani tunanunua machine ya 2023.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom