Data zinaonesha.Umewahi kumiliki au kuendesha LC 300 au story za Vijiweni??
LC zinazonunuliwa mpya hapa TZ ni za serikali na taasisi tu.
Hizi nyingine mnanunua zilizojambiwa Japan. Huna tofauti na anaenunua X5 zilizojambiwa U.K.
Wote masikini.
Unatumia kigezo kipi?Siingii kwenye mjadala wa umaskini na utajiri, ila LC 200 na 300 ni gari ya maana kuliko X5 (all things considered)
Mh! Mbona hii gari ni kubwa jinga?Siingii kwenye mjadala wa umaskini na utajiri, ila LC 200 na 300 ni gari ya maana kuliko X5 (all things considered)
Matajiri wengi Africa ni wazee nadhani hili limetuathiri kisaikolojia na ndio maana wengi humshangaa MO akifanya mambo ya ujana na kumuona hastahili ayafanyayoDuh kumbe nako kuna matajiri uchwara kama akina Mwamedi?...
Hiyo kitu ni balaa labda uwe na RR sport SVR yenye hp 575.Tafuta Cayenne Turbo au GTS, unawatembezea moto hata plates hawaoni.
Washindani wa hiyo gari, daraja moja, wanatoa power na fuel economy nzuri kuliko hiyo. Yaani unapata nguvu kubwa na ulaji mzuri wa mafuta kuliko hiyo LC300.Ukubwa unaangalia wa body au engine? Engine ni ndogo hiyo ila ni efficient sana kulinganisha na size ya gari. Ni 3.3 ltr tu na ipo ya 3.5 l pia inakupa HP karibu 400. Halafu kwangu kigezo cha gari nzuri sio engine pekee. Hiyo engine ina power ya kutosha tu, siyo gari ya mashindano
Kuna zile ford explorer nadhani za uhamiaji zina cyl 4 lakini madereva wa V8 wanaziheshimu.Sahizi ni V6 Twin Turbo ya moto zaidi[emoji28]
Mzee sio kwa hii LC300 kaka, huyo mwenye v8 pia anaeiogopa ford atakuwa ni kichaaKuna zile ford explorer nadhani za uhamiaji zina cyl 4 lakini madereva wa V8 wanaziheshimu.
Maneno ya mkosaji haya, you will never get a Land Cruiser then. Kuna mengi tunayapenda kwenye Land Cruiser Fuel si factor ya kukufanya ushindwe kununua gari nzuri kama LC300.Washindani wa hiyo gari, daraja moja, wanatoa power na fuel economy nzuri kuliko hiyo. Yaani unapata nguvu kubwa na ulaji mzuri wa mafuta kuliko hiyo LC300.
Ndiyo maana ni kubwa jinga: bodi kubwa, nguvu kidogo n.k.
Duh! Mzee naona umejipa mamlaka ya Mungu! Sawa basi.Maneno ya mkosaji haya, you will never get a Land Cruiser then.
Washindani wa hiyo gari, daraja moja, wanatoa power na fuel economy nzuri kuliko hiyo. Yaani unapata nguvu kubwa na ulaji mzuri wa mafuta kuliko hiyo LC300.
Ndiyo maana ni kubwa jinga: bodi kubwa, nguvu kidogo n.k.
Huwezi kutaka LC300 halafu mafuta ikawa ni suala la kukufikirisha.Maneno ya mkosaji haya, you will never get a Land Cruiser then. Kuna mengi tunayapenda kwenye Land Cruiser Fuel si factor ya kukufanya ushindwe kununua gari nzuri kama LC300.
Ile LC200 licha ya kuwa gas guzzler ila watu wanaiagiza hadi kesho.
😃😃Duh! Mzee naona umejipa mamlaka ya Mungu! Sawa basi.
Mkuu usihadaike na hizo gari wengi hawafikii hizo 575 horses wakiwa roadHiyo kitu ni balaa labda uwe na RR sport SVR yenye hp 575.
TruuueeeHuwezi kutaka LC300 halafu mafuta ikawa ni suala la kukufikirisha.
Zimezagaa Atown hizi wewe unasema baada ya mwaka?🤣
Ni kama hili tuuuWashindani wa hiyo gari, daraja moja, wanatoa power na fuel economy nzuri kuliko hiyo. Yaani unapata nguvu kubwa na ulaji mzuri wa mafuta kuliko hiyo LC300.
Ndiyo maana ni kubwa jinga: bodi kubwa, nguvu kidogo n.k.
Naunga mkono hoja.. LC 300 hiyo ni kubwa jinga.. kwenye LC 300 na salute VXR yake ya petrol tuWashindani wa hiyo gari, daraja moja, wanatoa power na fuel economy nzuri kuliko hiyo. Yaani unapata nguvu kubwa na ulaji mzuri wa mafuta kuliko hiyo LC300.
Ndiyo maana ni kubwa jinga: bodi kubwa, nguvu kidogo n.k.