Toyota LC 300

Toyota LC 300

Siingii kwenye mjadala wa umaskini na utajiri, ila LC 200 na 300 ni gari ya maana kuliko X5 (all things considered)
Mh! Mbona hii gari ni kubwa jinga?

A6928098-826E-4ED6-B107-0259B1F76028.jpeg
 
Kwa sababu moja kubwa., BALANCE kati ya durability, reliability na comfort na power. Ina balance nzuri ya hivyo vitu vyote. Unatoboa nayo 20 years ikiwa hivyo hivyo
 
Mh! Mbona hii gari ni kubwa jinga?

View attachment 2188944

Ukubwa unaangalia wa body au engine? Engine ni ndogo hiyo ila ni efficient sana kulinganisha na size ya gari. Ni 3.3 ltr tu na ipo ya 3.5 l pia inakupa HP karibu 400. Halafu kwangu kigezo cha gari nzuri sio engine pekee. Hiyo engine ina power ya kutosha tu, siyo gari ya mashindano
 
Washindani wa hiyo gari, daraja moja, wanatoa power na fuel economy nzuri kuliko hiyo. Yaani unapata nguvu kubwa na ulaji mzuri wa mafuta kuliko hiyo LC300.

Ndiyo maana ni kubwa jinga: bodi kubwa, nguvu kidogo n.k.
 
Maneno ya mkosaji haya, you will never get a Land Cruiser then. Kuna mengi tunayapenda kwenye Land Cruiser Fuel si factor ya kukufanya ushindwe kununua gari nzuri kama LC300.

Ile LC200 licha ya kuwa gas guzzler ila watu wanaiagiza hadi kesho.
 
Nitajie washindani LC 300 (size kama ya hiyo gari, yani full SUV) wanaokupa better power na better fuel economy na reliability ya hiyo gari vyote kwa wakati mmoja….halafu ndo uendelee kuiita kubwa jinga
 
Maneno ya mkosaji haya, you will never get a Land Cruiser then. Kuna mengi tunayapenda kwenye Land Cruiser Fuel si factor ya kukufanya ushindwe kununua gari nzuri kama LC300.

Ile LC200 licha ya kuwa gas guzzler ila watu wanaiagiza hadi kesho.
Huwezi kutaka LC300 halafu mafuta ikawa ni suala la kukufikirisha.
 
Washindani wa hiyo gari, daraja moja, wanatoa power na fuel economy nzuri kuliko hiyo. Yaani unapata nguvu kubwa na ulaji mzuri wa mafuta kuliko hiyo LC300.

Ndiyo maana ni kubwa jinga: bodi kubwa, nguvu kidogo n.k.
Ni kama hili tuuu
Screenshot_20220403_210320.jpg
 
Washindani wa hiyo gari, daraja moja, wanatoa power na fuel economy nzuri kuliko hiyo. Yaani unapata nguvu kubwa na ulaji mzuri wa mafuta kuliko hiyo LC300.

Ndiyo maana ni kubwa jinga: bodi kubwa, nguvu kidogo n.k.
Naunga mkono hoja.. LC 300 hiyo ni kubwa jinga.. kwenye LC 300 na salute VXR yake ya petrol tu
 
Back
Top Bottom