Toyota liteace noah v/s Nissan serena naomba ushauri

Konzogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
434
Reaction score
156
Nawasalimu!
mteja wangu anahitaji gari kati ya toyota liteace noah au nissan serena. wadau naombeni ushauri kati ya magari haya mawili lipi bora zaidi kwa matumizi ya familia sio biashara.
nahitaji kumnunulia toka japan na kesho nategemea kulipa pesa.
 
Noah mkuu hasa zile za mwanzo,spear znapatikana na bei zinaridhisha,nissan pia c mbaya tatizo liko kwenye spear na upatikanaj wake pia bei ni kubwa!!!
 
Nunua Toyota,
Sababu kubwa kwanza ukitaka kuuza ni rahisi,ila Nissan Serena utatamba nayo hata milioni moja hakupi mtu.
Kuna jamaa ana mwaka wa pili anaiuza na hamna anaeitaka hata kuiona.
Nissan tatizo lake kubwa ni kwamba mafundi wengi wanazibahatisha hizi gari,sasa unaweza kukuta tatizo dogo unaiweka ndani,na pia spare zake ghali sana na nyingi haziingiliani kama zilivyo Toyota.

Na Pia fuel consumption ya Noah liteace ipo vizuri.
Halafu Noah ni gari bora kabisa ya kizazi cha sasa as Family vehicle,yaani hata kama ukiwaambia wanao wachague basi watachagua Noah.Ninakuambia hivyo kwakuwa ndio natumia kama Family Vehicle.Noah heshima kati ya gari za familia kwa sasa hasa wenye kipato cha chini kama mie,kwanza matengenezo na kesi za kijinga huwa hazina,ila Nissan utajuta mkuu.

Naungana na jamaa hapo kwamba tafuta noah ya chini ya mwaka 2000 ndio zilikuwa toleo bora kabisa.
Ila kuwa makini sana zipo Noah nyingi watu wanachomekewa wakati ni Four wheel Drives,inabidi uulizie vizuri,matoleo ya four wheel drive yatakutesa sana hasa kwenye mafuta ni balaa.Niliona mtu aliagiza Noah na kujua zote ni two wheel drives basi watu wakamletetea kumbe four wheel cha moto anakiona.Na watu wengi sana tusiojua magari tunapigwa kwa style hiyo.
Mie siku zote huwa naona bora niwe mshamba ila lazima niulize mafundi wazoefu kwa ushauri zaidi
 
wakuu kwa upande wa noah ipi bora zaidi old model au new model izi boxy body
 
Old model is the best.....izo za sasa ivi ni box sana amna kitu pale just take super extra ni nzur sana huta juta..
Kuna bro wangu anayo toka 2012 haija wahi zingu had ss
 
Napingana na Wadau hapo juu kwa sababu moja tu, umesema wahitaji kwa matumizi ya familia na sio biashara.

Although ni expensive na less available, but durability ya spares za Nissan ni bora sana. Pia hata comfortability ni kubwa kwa Nissan than Hiyo Toyota.
 

asante nimekusoma mkuu!
 

nashukuru kwa mchango wako mkuu
 
nawashukuruni wote kwa maoni mliyotoa. tayari nimeshachukua uamzi uliotoka kwenu.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜•Nilipo kuja tz mwaka jana, Ndio nimeona noha, katika safari zangu nikapata chalii alikuwa na noha akanipeleka shamba huko sijawahi fika zanzibar, niliipenda sana noha, kwa gari ya kifamilia ni poa na biashara. gari nilio kuwa natumia mwenyewe ni daihatsu terios, hii gari ni economy, kama unaipata safi sana. Mpaka sasa nataka niwe na gari kati ya hizi mbili moja wapo,ila noha nimeipenda kwa shape yake ya kuvutia sana, lakini daihatsu terios nimeipenda ni more economic kwa matumizi binafsi.
 

Noha = Noah
 
Kanyoe ndevu upunguze kuchapia,sio NOHA ni NOAH.
Kama ni Dem basi nunua Daihatsu,maana mie naona imekaa kidada au sijui kwa vile jirani yangu mwanamama anaitumia,ila kama ni man nunua NOAH
 
Kanyoe ndevu upunguze kuchapia,sio NOHA ni NOAH.
Kama ni Dem basi nunua Daihatsu,maana mie naona imekaa kidada au sijui kwa vile jirani yangu mwanamama anaitumia,ila kama ni man nunua NOAH

Hahahaha, vyote sawa si umeelewa nimemaanisha nini, hizi noah huku Europe zipo chache sana, kama unaamini nime Ziona zanzibar.
Halafu daihatsu haijaandikwa kama ya kike wala kiume.
Jengine eneo ambalo ndio itakuwa makazi yangu, gari kama noah naona nitaiyua kwanza njia mbovu, jiwe tupu na mashimo, nahisi noah ipo chini. Si Ushafika tunguu? 😀
 
Asante mzee wa ulaya.
Sasa kwa kule Tunguu palivyo lile jiwe na dongo jekundu bora utafute Escudo.
Sasa wewe kuishi kote ulaya unaenda kukaa kule Tunguu,wenzio wanajenga mbweni VIP zone.Chukwani na sasa hivi wanaeleea Buyu pwani.
 
Old model is the best.....izo za sasa ivi ni box sana amna kitu pale just take super extra ni nzur sana huta juta..
Kuna bro wangu anayo toka 2012 haija wahi zingu had ss

Mkuu hzo hzo old model kuna SUPER EXTRA, SUPER EXTRA LIMO, SUPER EXTRA LTD, ROYAL LAUNGE, FIELD TOURER, TOWNACE NOAH LD. Ipi ipo poa zaid ya nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…