Toyota Mark II 4 cylinder kwa 2.5m inafaa?

Hiyo bei mbona IPO chini Sana kama unanunua bodaboda!!!!!
Jamaa anasema a
Gx100 ndiyo inacheza 3-4m, unategemea gx90 au gx80 iuzwe bei gani?

Hata hivyo mleta mada hajasema ni ipi..

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app

Jiko lake hilo hapo kwa wataalamu wanaweza kujuwa ni mark II gan mim ndyo kwanza najifunza kwenu.

20220507_132957.jpg
 
Wote mnaosema # A ni bovu ni wapumbavu.
Huwezi kujua ubora au hali ya gari kwa kuuliza ni # ngapi
Kuna watu wana magari # A yapo vzr kuliko yenye # DV

Watu wanaoishi mikoa ya Kilimanjaro na Arusha watakubaliana na mimi, yani unakuta Rav 4 ya mzee wa kimachame #AAB imenyooka bodi na injini kinanda ukipiga start inatema maji kwa exhaust

Sasa kachukuche gari DRB la kijana wa Dar uone balaa Lake
 
Nje ya maada hivi hizi gari kwa nini wamiliki wake wengi walikuwa wanapenda kuweka hizo kapeti za manyoya kwenye dashboard au wadoli ndani ya gari ? 🐒
 
Ngoja tuwaulize ma police maana ndio magari wanayopenda kuyanunua.
 
Wote mnaosema # A ni bovu ni wapumbavu.
Huwezi kujua ubora au hali ya gari kwa kuuliza ni # ngapi
Kuna watu wana magari # A yapo vzr kuliko yenye # DV

Watu wanaoishi mikoa ya Kilimanjaro na Arusha watakubaliana na mimi, yani unakuta Rav 4 ya mzee wa kimachame #AAB imenyooka bodi na injini kinanda ukipiga start inatema maji kwa exhaust

Sasa kachukuche gari DRB la kijana wa Dar uone balaa Lake
Na wengi wa wa wachangiaji wa humu hata Pikipiki ya TVS hawana, wamejaa humu kupotosha na kutoa taarifa za mambo wasiyoyajua
 
Back
Top Bottom