Naweza kuweka ipi nyingine?Nadia na ist sidhani kama zitaweza ingiliana
Duh,Wakuu kwema, nina gari aina ya toyota nadia, iko na engine ile ya zamani, na iko juu ya mawe muda mrefu, sasa nataka kuifufua,
Hivi naweza kuondoa mfumo wake wa zaman, nikaweka engine na gear box ya gari ndogo kama IST?
Mbona baadhi ya premio/allion zimefungwa hiyo ingine! Tofauti ya uzito na nadia ni ipi?Duh,
Sasa na uzito ule wa body je?
Jiulize kilo za Nadia ni sawa na Ist?
Kama ni tofauti, huoni kwamba utakua unaitesa hiyo engine ?
nani kakuambia premio imefungwa injini ya istMbona baadhi ya premio/allion zimefungwa hiyo ingine! Tofauti ya uzito na nadia ni ipi?
Zipo premio 1NZ mkuunani kakuambia premio imefungwa injini ya ist
Zipo za 1NZ CC 1490.nani kakuambia premio imefungwa injini ya ist
1NZ unafunga mbona haina shida, si ni engine ya 1490cc zipo kwenye spacioNilishawahi kuona jamaa kafunga engine ya IST kwenye Spacio new model hizi zenye body nzuri ndogo ndogo.
Kama premio yangu ina hiyo engine hadi raha sina stress na mafutaZipo za 1NZ CC 1490.
Hio ipo hata kwenye Allion inanusaKama premio yangu ina hiyo engine hadi raha sina stress na mafuta
Weka 3s engineNaweza kuweka ipi nyingine?
Ila ukiweka 1G jiandae kwenye mafuta ujipange haswaaHapo labda uweke 1G ndio kidogo zinaendana na 3s
Kwani kadi za hizo gari zote si unazo,soma ili uweze kulinganisha uzito wa hayo magari,usitegemee porojo za JF kukuelewesha kwenye kitu sensitive kama hicho...Mbona baadhi ya premio/allion zimefungwa hiyo ingine! Tofauti ya uzito na nadia ni ipi?