Toyota nadia kuweka engine ya IST

Toyota nadia kuweka engine ya IST

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
429
Reaction score
206
Wakuu kwema, nina gari aina ya toyota nadia, iko na engine ile ya zamani, na iko juu ya mawe muda mrefu, sasa nataka kuifufua,
Hivi naweza kuondoa mfumo wake wa zaman, nikaweka engine na gear box ya gari ndogo kama IST?
 
Duh,

Sasa na uzito ule wa body je?

Jiulize kilo za Nadia ni sawa na Ist?

Kama ni tofauti, huoni kwamba utakua unaitesa hiyo engine ?
 
Nilishawahi kuona jamaa kafunga engine ya IST kwenye Spacio new model hizi zenye body nzuri ndogo ndogo.
1NZ unafunga mbona haina shida, si ni engine ya 1490cc zipo kwenye spacio
 
Mkuu kama injini ya nadia imekufa , tafuta injini ya nadia ufunge hapo...
Ukifunga hiyo 1NZ unatafuta stress za level nyingine...
 
Mbona baadhi ya premio/allion zimefungwa hiyo ingine! Tofauti ya uzito na nadia ni ipi?
Kwani kadi za hizo gari zote si unazo,soma ili uweze kulinganisha uzito wa hayo magari,usitegemee porojo za JF kukuelewesha kwenye kitu sensitive kama hicho...
 
Back
Top Bottom