lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,356
Wakuu naona designers wa toyota wanafeli kwny baadhi ya new model zao sura zake yani bodi mbaya kuliko model za nyuma..
Mfano Mark x, landcruiser prado, passo naona mbaya kuliko za nyuma..
Maoni yenu yapoje wadau na je nyingine ipi mnaona wamechemka...
Sawa mkuu ntajitahdUna hoja nzuri nakubaliana nawe. ungeweka picha watu wangekuelewa zaidi. jaribu kweka picha ndugu
Passomtoa mada katika hizo hapo ni ipi unaweza ukamnunulia mtu kama zawadi?
Ile prado ya 2005 ndio nzuriUko sahihi mkuu hata mimi Prado na Mark x new model kwenye designing naona wamefail.
Ha ha ha haTeknolojia inakua kwa kasi,usitegemee wakumbatie muundo wa miaka ya 90 mpaka leo,lazima wabadilike na waunde magari ya kisasa zaidi.
Hilo ni lazima litokee na yataendelea kubadilika sana.Kama Mark X new model unalalamika ina sura mbaya je hilo hapo utasemaje??
Weka picha basi tuoneIle prado ya 2005 ndio nzuri
Mimi nakubaliana na mleta mada, hio hapo picha uloweka ni sura nzuri, inonesha aggresiveness. Lakini kama kawaida yao toyota, gari hio wataifunga engine yenye 250 HP afu bei yake mpya utasikia $35,000! I mean WTF is wrong with toyota? look at the FT86, wakati ndo kwanza iko concept car nikajua walau, walau itakuja kusumbuana na nissan GTR, kumbe imekuja kusumbuana na engine za mark x! Halafu ukiiona hio FT86 nje utasema ndani itakuwa hatari, ukiingia ndani maplastiki tu dam.n Toyota. Anyways their new models zinaonekana kama hazina nyama, body zake zinaonekana hazijashiba utafikiri mgonjwa wa ukimwi. Markx ya zamani ni nzuri kuliko new models in terms of shape, ukipita njiani ni eye catching, hizo new models, ovyo. Tizama BMW zilivo au Mercedez, inaiona asa gari imeshiba minyama nyama ya body, mpaka inavutia kuitizama.Teknolojia inakua kwa kasi,usitegemee wakumbatie muundo wa miaka ya 90 mpaka leo,lazima wabadilike na waunde magari ya kisasa zaidi.
Hilo ni lazima litokee na yataendelea kubadilika sana.Kama Mark X new model unalalamika ina sura mbaya je hilo hapo utasemaje??
Mark x mpya tam weWakuu naona designers wa toyota wanafeli kwny baadhi ya new model zao sura zake yani bodi mbaya kuliko model za nyuma..
Mfano Mark x, landcruiser prado, passo naona mbaya kuliko za nyuma..
Maoni yenu yapoje wadau na je nyingine ipi mnaona wamechemka...