Toyota new models designs zake mbaya

Toyota new models designs zake mbaya

Wakuu naona designers wa toyota wanafeli kwny baadhi ya new model zao sura zake yani bodi mbaya kuliko model za nyuma..
Mfano Mark x, landcruiser prado, passo naona mbaya kuliko za nyuma..
Maoni yenu yapoje wadau na je nyingine ipi mnaona wamechemka...
Wamiliki wa passo tushawazoea....
 
Wakuu naona designers wa toyota wanafeli kwny baadhi ya new model zao sura zake yani bodi mbaya kuliko model za nyuma..
Mfano Mark x, landcruiser prado, passo naona mbaya kuliko za nyuma..
Maoni yenu yapoje wadau na je nyingine ipi mnaona wamechemka...

Zinakua mbaya vipi kwenu hata baiskeli hakuna tatzo watz wengi hapa gari mnatumia za mwaka 1995 gari waiona toka uko shule ya msingi af unamaliza chuo unapata kijikaz mshaahara laki 4 unanunua kijigari cha 1998 unaona mbaya kisa hayo ya 1995 uliyaona kwa mda mrefu na wajomba zenu walibebea sana madem basi unahis hzo za 1998 mbaya mana madem wa sasa hawazitak.
 
Back
Top Bottom