Toyota noah 1999

Toyota noah 1999

ossy

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
872
Reaction score
143
Wakuu hiv ile systeam ya TRA ya kutax used car kutoka japani imeshaanza kufanya kazi? Nimepata NOAH ya mwaka 1999 japani,CIF yake ni dola 3100,je kodi yake itakuwa tsh ngap? msaada please! Nawakilisha!
 
huwa wanaangalia bei ya aina ya gari kipindi ilipokuwa mpya, na kuanza kutafuta depreciation.Mara nyingi kwa magari ya zamani kama hilo ni utalipia kama 50%.
 
Back
Top Bottom