sijawahi changanya natumia total sae 40 sijawahi weka oil aina nyingineHuna ugomvi na MTU? Valgreen inahusika hapo au unachanganya oil za kupima na special
mkuu unanitishaAcha ugomvi na watu wataliweka gari juu ya mawe bonetiii[emoji125] [emoji125]
Simple check up ifanyie mwenyewe kwanza. 1. Angalia pembeni mwa top cover (ule mfuniko wa cylinder head unaobeba cable za plug) kama haina leakage, hasa ule upande wa nyuma. 2. Angalia zile bolt za kwenye sample kama hazina leakage, au sample yenyewe. Kama hakuna shida yoyote kati ya hizo basi mwone fundi.habar wana jamvi?
naomba msaada wa ushauri wa kiufundi,nina gar toyota noah engine s3 inatatizo la kupunguza oil unapotembea umbali mrefu kuanzia km 300 hv,ndiyo utagundua hilo tatizo.Lakin kwa safar za karibu oil inabaki kwenye level ya kawaida,nimejaribu kufunga ring mpya still tatizo linaendelea,tatizo ni nn?
ok kwenye top cover kweli naona kuna ubich,na pia nikiipaki nakuta chini kuna matone ya oil chin,shida ni nn maana mafund wangu wanasema wafanye over whole ya engine na wengine wanasema nisifanye hivyo ,ndiyo maana nimekuja hapana kupata ushar na jua huku kuna wataalamu angalau nitabata mwanga wa nn chakufanyaSimple check up ifanyie mwenyewe kwanza. 1. Angalia pembeni mwa top cover (ule mfuniko wa cylinder head unaobeba cable za plug) kama haina leakage, hasa ule upande wa nyuma. 2. Angalia zile bolt za kwenye sample kama hazina leakage, au sample yenyewe. Kama hakuna shida yoyote kati ya hizo basi mwone fundi.