habar wana jamvi?
naomba msaada wa ushauri wa kiufundi,nina gar toyota noah engine s3 inatatizo la kupunguza oil unapotembea umbali mrefu kuanzia km 300 hv,ndiyo utagundua hilo tatizo.Lakin kwa safar za karibu oil inabaki kwenye level ya kawaida,nimejaribu kufunga ring mpya still tatizo linaendelea,tatizo ni nn?