Tunazidiana vipato, hata ktk kumiliki vyombo vya moto ni hivyohivyo pia,tunatofautiana...kwa wazoefi wa magari naomba ushauri juu ya,kufanya service, uimara, namna ya kusevu mafuta, vitu vya kuwa makini navyo sana, uimara na utunzaji kwa ujumla wa toyota Noah lite ace,road tourer 2000.