Toyota Noah old model, naomba ushauri

Toyota Noah old model, naomba ushauri

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,595
Reaction score
3,416
Tunazidiana vipato, hata ktk kumiliki vyombo vya moto ni hivyohivyo pia,tunatofautiana...kwa wazoefi wa magari naomba ushauri juu ya,kufanya service, uimara, namna ya kusevu mafuta, vitu vya kuwa makini navyo sana, uimara na utunzaji kwa ujumla wa toyota Noah lite ace,road tourer 2000.


IMG_20220207_214828.jpg
 
Noah ukipimp ni kagar fulan kazur sana,naipenda kwa idadi kubwa ya siti,hata ukiwatembelea ndugu huko kijijin unaweza kuwatoa out bila shida
 
Back
Top Bottom