Toyota passo 2004 au 2005

Toyota passo 2004 au 2005

Tough lady

Senior Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
151
Reaction score
183
Habari wadau,
Natafuta Toyota Passo ya mwaka 2004 au 2005,nzima, iwe imelipiwa ushuru au kama inatumika, isiwe na zaidi ya mwezi 1 Tanzania.Bei iwe kuanzia mil 5.5 hadi 6.5...
Rangi yoyote isiwe nyeupe au njano.Usipige kunibadili mawazo, iwe Toyota Passo tu.
0765 612193,,
Meseji hazitajibiwa.
 
dada mbona tangazo lako la siku nyingi sana bado tu hujapata hii baby worker? kwa nini usagize japan mwezi mmoja tu unapata jumla Tsh 7M
 
dada mbona tangazo lako la siku nyingi sana bado tu hujapata hii baby worker? kwa nini usagize japan mwezi mmoja tu unapata jumla Tsh 7M

Nshapata baby WALKER yangu.Thanx kwa ushauri...lol
 
kama bado hujapata nitaarifu kwani mm naagiza magari toka japan na unalipata mwezi mmoja tu kufika dar
kama hujapata niPM tufanye biashara

TOYOTA PASSO 380

1,000 cc DBA-KGC10, Automatic
US$ 2500

ANGALIA PICHA HIZO CHINI KAMA UTARIDHIKA

passo 3801.jpg

mbele passo380.jpg

nyuma passo.jpg

engine passo.jpg

Back
Top Bottom