Tough lady
Senior Member
- Jul 24, 2013
- 151
- 183
Habari wadau,
Natafuta Toyota Passo ya mwaka 2004 au 2005,nzima, iwe imelipiwa ushuru au kama inatumika, isiwe na zaidi ya mwezi 1 Tanzania.Bei iwe kuanzia mil 5.5 hadi 6.5...
Rangi yoyote isiwe nyeupe au njano.Usipige kunibadili mawazo, iwe Toyota Passo tu.
0765 612193,,
Meseji hazitajibiwa.