Toyota Passo inafaa?

ebbyramadhani

Senior Member
Joined
Jan 5, 2017
Posts
101
Reaction score
109
Habari wana jamvi,

Naomba kufahamu gari aina ya toyota passo. Kama mnavojua hali ya sasa ni vyema kuwa na gari za kwenda na hali zetu
Naitaji kununua passo lakini sifahau uimara wake Maana niliwah kusikia hua zina chemsha umbar mrefu.

 
Kutembelea kwa katika shuhuli zangu
Na pia kusafir nayo mkoani mala moja moja nyakati za rikizo
Dar tanda au Sar dodoma
Wanakudanganya kama uwezo wako ni passo wala usihofu mimi naishi tanga mishe zangu ni tanga dar tanga moro tanga arusha na nna passo mwaka wa 4 huu, kuchemsha ni ubovu wa gari husika sio gari zote ziko hivyo.

Sasa jiulize hizo gari IT wanazipeleka zambia na malawi huko je zinafikaje? Mjapan asinge endelea tengeneza hizo gari toka 2014 angekuwa ameachana nazo kumbuka injin yake ya 1kr ipo kwenye gar kadhaa wa kadhaa ambazo pia zikiwekwa hapa zasifiwa
 
passo kama waitaka tafuta ya piston 4 sio 3 itakusumbuwa na havina nguvu ,Ila ukipata 4,popote unaenda na haina shida yeyote,
Shida wengi waliokuja kuchukuwa passo waliingia mkenge kwa kuchukuwa zenye piston3 na ndomana wakatokea kuzichukia maana zinakuwa na engine ndogo hazina power huwa zinatetemeka mlimani kikianza kuchoka hakipandi
 
Ahsante sana ndugu
Na kwa bei zina tofauti
Ya piston 3 na 4?
 
yes tofauti ipo piston 3 unaeza ipata nafuu maana wengi wanavikimbia sana unaeza kuta namba d inauzwa hata nne ,

Ila piston 4 imechangamka kidogo na Huwa wanakomaa bei nadra kuikuta chini labda mtu auze ana matatizo tu ,
Ok ahsante
Ntaanza kufatilia
Na vipi vitz
Ni bora kuliko passo
Vitz rs
 
Ok ahsante
Ntaanza kufatilia
Na vipi vitz
Ni bora kuliko passo
Vitz rs
Vits ni bora zaidi kuliko Passo, ila vits old maana zenyewe ni ngumu zinahimili sana mikimikimi hata kama ukaa kule madongo kuinama, tofauti na passo zimekaa mayai sana ,hazitaki shurba ,ila vits chini ni ngumu sana ,

kama unaweza chukuwa vits old ,unapata nzuri mkononi mpaka unaienjoy ,na utadumu nayo muda mrefu.
 
Najitahid niagize mpya
Staki ya mkononi
 
Mkuu inaonesha una ufahamu sana kama sio kidogo juu ya magari, naomba nikuulize natamani kununua Toyota Noah ila sijajua sifa zake na je aina gani ya Noah ni nzuri? Nataka kwa matumizi yote ya private lakini pia hata kukodisha!
 
Walichojarib kukielezea
Ni kwamba kwa mpya azisumbui
Ila baada ya mda zinakua zinasumbua
Kwa maana zinapoanza kuchoka
Jwa kutokua na power kubwa hasa mlimani ilo naamini
Nshawah kukiendesha mlimani
Na hata ivo kwakua engine ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…