Toyota Passo inafaa?

Toyota Passo inafaa?

Daah ila ka passo kuna muda kinatetemeka mpk unasikia mwili unawasha kama umekunywa klorokwini vile.
😂😂😂😂 Passo sijwahi kuzielewa kabisa! Bora achukue Vitz Rs zipo vizuri hasa upate stick shift
 
Walichojarib kukielezea
Ni kwamba kwa mpya azisumbui
Ila baada ya mda zinakua zinasumbua
Kwa maana zinapoanza kuchoka
Jwa kutokua na power kubwa hasa mlimani ilo naamini
Nshawah kukiendesha mlimani
Na hata ivo kwakua engine ndogo
Ww si unanunua mpya? Service si wapiga vzr? Maamuzi ni yako, gari uitunzavyo ndivyo inavyodumu... kuchemka ni ubovu wa gari sio umri...
 
Hivi hujiulizi kwa nini Mfalme wa mjini (IST) anaongoza kwa mda mrefu sana bila kusikia malalamiko?!

Fata nyuki ule asali mkuu
 
Mkuu inaonesha una ufahamu sana kama sio kidogo juu ya magari, naomba nikuulize natamani kununua Toyota Noah ila sijajua sifa zake na je aina gani ya Noah ni nzuri? Nataka kwa matumizi yote ya private lakini pia hata kukodisha!
ufahamu wangu kiasi sio sana ,kwenye noah wanasema old ni nzuri maana ni ngumu na zinahimili nikiki tofauti na haya matoleo mengine
 
Na pia kati ya vits old model na ist ya 1.3L yaan below 1.4L ipi unapendekeza interms of safari za kutoka mikoani japo si kwa mala nyingi na kukaa madongo poromoka na ulagi wa wese lisiwe jini.
 
Ngoja nisake manoti na mimi nimiliki vits
 
Mkuu nilinunua vits ya 2005 kama gar kwanza toka japan nilikaa nayo wiki 3 nikauza ilikuwa cc 990 1kr engine mafundi walinitisha aiseh nikaapa kuanzia leo sinunui gar chini ya cc 1490 hata 1280 ist niliikataa japo ni piston 4!

Chukua atleast cc 1280
 
[emoji26] [emoji26]
 
Nilishawah kuagiza passo nilijuta, nilikaa nayo miezi kumi tu, ila nilibadilisha mpaka engine, zikifika km 100k zinaanzaga kuchoka
 
Mkuu nilinunua vits ya 2005 kama gar kwanza toka japan nilikaa nayo wiki 3 nikauza ilikuwa cc 990 1kr engine mafundi walinitisha aiseh nikaapa kuanzia leo sinunui gar chini ya cc 1490 hata 1280 ist niliikataa japo ni piston 4!
Chukua atleast cc 1280
Me nadhani gari ili upate yenye power kidogo
Yenye cc 1500 kwenda juu
Kwa maana 1490 kama wanavoandika
 
Wanakudanganya kama uwezo wako ni passo wala usihofu mimi naishi tanga mishe zangu ni tanga dar tanga moro tanga arusha na nna passo mwaka wa 4 huu, kuchemsha ni ubovu wa gari husika sio gari zote ziko hivyo. Sasa jiulize hizo gari IT wanazipeleka zambia na malawi huko je zinafikaje? Mjapan asinge endelea tengeneza hizo gari toka 2014 angekuwa ameachana nazo kumbuka injin yake ya 1kr ipo kwenye gar kadhaa wa kadhaa ambazo pia zikiwekwa hapa zasifiwa
passo ni daihatsu
 
Back
Top Bottom