ebbyramadhani
Senior Member
- Jan 5, 2017
- 101
- 109
- Thread starter
- #21
Dar tanga"Dar tanda au Sar Dodoma" Hapa umeandika kisandawe?
Dar dodoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar tanga"Dar tanda au Sar Dodoma" Hapa umeandika kisandawe?
😂😂😂😂 Passo sijwahi kuzielewa kabisa! Bora achukue Vitz Rs zipo vizuri hasa upate stick shiftDaah ila ka passo kuna muda kinatetemeka mpk unasikia mwili unawasha kama umekunywa klorokwini vile.
Ww si unanunua mpya? Service si wapiga vzr? Maamuzi ni yako, gari uitunzavyo ndivyo inavyodumu... kuchemka ni ubovu wa gari sio umri...Walichojarib kukielezea
Ni kwamba kwa mpya azisumbui
Ila baada ya mda zinakua zinasumbua
Kwa maana zinapoanza kuchoka
Jwa kutokua na power kubwa hasa mlimani ilo naamini
Nshawah kukiendesha mlimani
Na hata ivo kwakua engine ndogo
asanteShukran sana
ufahamu wangu kiasi sio sana ,kwenye noah wanasema old ni nzuri maana ni ngumu na zinahimili nikiki tofauti na haya matoleo mengineMkuu inaonesha una ufahamu sana kama sio kidogo juu ya magari, naomba nikuulize natamani kununua Toyota Noah ila sijajua sifa zake na je aina gani ya Noah ni nzuri? Nataka kwa matumizi yote ya private lakini pia hata kukodisha!
Unaposema old ni ya mwaka gani mkuu?sawa agiza vits old ,sio hizi new model
asante
Wewe Malika7 mbona unajina la kike ila unaongea kiume au nawewe ni delicious?ufahamu wangu kiasi sio sana ,kwenye noah wanasema old ni nzuri maana ni ngumu na zinahimili nikiki tofauti na haya matoleo mengine
[emoji26] [emoji26]Mkuu nilinunua vits ya 2005 kama gar kwanza toka japan nilikaa nayo wiki 3 nikauza ilikuwa cc 990 1kr engine mafundi walinitisha aiseh nikaapa kuanzia leo sinunui gar chini ya cc 1490 hata 1280 ist niliikataa japo ni piston 4!
Chukua atleast cc 1280
Me nadhani gari ili upate yenye power kidogoMkuu nilinunua vits ya 2005 kama gar kwanza toka japan nilikaa nayo wiki 3 nikauza ilikuwa cc 990 1kr engine mafundi walinitisha aiseh nikaapa kuanzia leo sinunui gar chini ya cc 1490 hata 1280 ist niliikataa japo ni piston 4!
Chukua atleast cc 1280
Izo bei kubwaMkuu chukua Nissan Fuga, Toyota Crown, Toyota Progress...hutojuta
passo ni daihatsuWanakudanganya kama uwezo wako ni passo wala usihofu mimi naishi tanga mishe zangu ni tanga dar tanga moro tanga arusha na nna passo mwaka wa 4 huu, kuchemsha ni ubovu wa gari husika sio gari zote ziko hivyo. Sasa jiulize hizo gari IT wanazipeleka zambia na malawi huko je zinafikaje? Mjapan asinge endelea tengeneza hizo gari toka 2014 angekuwa ameachana nazo kumbuka injin yake ya 1kr ipo kwenye gar kadhaa wa kadhaa ambazo pia zikiwekwa hapa zasifiwa
Daihatsu ni mtoto wa toyotapasso ni daihatsu
sio tumbo moja lakiniDaihatsu ni mtoto wa toyota