Passo inafaa kutegemea na matumizi yako kama upo town na unataka kuitumia kwenda kazin na kurudi naona ni bora hiyo passo kuliko kuwa na gari zenye engine kubwa kama crown especially kama unaishi DSM.
Pia passo unaweza kuipata kwa bei ndogo sana unaweza kuagiza japan kuanzia 7.4 million