Car4Sale Toyota Prado bei sawa na bure

myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
3,612
Reaction score
6,158
Toyota Land Cruiser Prado ambayo kwa kiasi kikubwa ni imetumika kwa misele ya Dar es salaam tu ingawaje mara chache sana ilikuwa inapiga trip za mkoa. Gari ipo safi kabisa, ni wewe tu kuchukua funguo unasepa nayo.

FACT SHEET:
Make: Toyota
Model: Land Cruiser Prado
Manufactured Year: 2002
Mileage: 151,046 km
Fuel: Petrol
Engine Vol: 2700 cc
Sehemu ilipo: Mtoni Kijichi
Mawasiliano: 0676 30 55 18

BEI: TZS 28 Million! Na maongezi yapo, sana tu>>> HAKUNA DALALI

Anayehitaji huo usafiri, karibu tufanye biashara!










 
Mkuu hiyo bei unapewa na ofa ya mafuta miaka mitano ama? Kwa bei hiyo naagiza
Harrier sec gen na chenji inabaki
Subaru xt 2008 na chenji juu
Tena chenji ya kujaza mafuta kwa miaka zaid ya miwili na kwa long trip
 
Hii gari thamani yake haizidi M5. Gari ya 2002 tena imetumika Bongo, namba yenyewe ni B. Acheni utani kwenye vitu serious. Au we Dalali mpya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…